MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Mar 7, 2013 #1 hakuna mtandao tangu juzi hata kidogo... sasa sijui hawa "wataalamu" wanafahamu au wanakaa tu maofisini kupiga stori. Inakera sema sina wakumlamba kofi.
hakuna mtandao tangu juzi hata kidogo... sasa sijui hawa "wataalamu" wanafahamu au wanakaa tu maofisini kupiga stori. Inakera sema sina wakumlamba kofi.