Wadau Habari Zenu
Mimi Ni Mteja Sana Wa Hizi Kampuni Mbili Za Simu, Tigo Na Vodacom. Mara Nyingi Huwa Nabadilisha SIM card kwa simu yangu yenye uwezo wa kukaa line moja. Sasa Kinachofanya Nivutiwe Na Hawa Voda Na Ndio Sababu Ya Kuweka Huu Uzi, Ni Kwamba Nikibadilisha SIM Card Na Kueka Voda Nakuta Saa Ya Kwenye Simu Ipo Vile Vile Yanii Sipaswi Kuanza Kurekebisha Majira.
Compare Na Tigo Ambapo Nikizima Simu Na Kubadilisha Nikaweka Chip Yao, Inanilazimu Pia Kurekebisha Muda.
Sasa Hawa Voda Wana System Gani Ambayo Inauwezo Wa Kufanya Kama Nilivoelezea Apo Juu? Na Kwa Nini Tigo Wasiweze Au Basi Kama Wanaweza Wa'Introduce Hiyo System Ili Huduma Zao Ziendane Na Smartphone Zetu. Kwa Sababu Kwenye Smartphone Kuna Feature Ya Kutumia Internet Ku'detect Muda Lakini Hata Nikiweka Chip Ya Tigo Inashindwa....
Kama Kuna Wataalamu Wa Tigo Humu Basi Na Wasikie !