mbuzi wa mshenga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 209
- 337
Mkuu hapa ni mimi nimelewa au hii miwani lens mbonyeo imepasuka?matuzimia mtandao hovyo
Bado adha itaendelea"TWENDE BUTIAMA"
Ni makosa ya kiuandishi mkuu ila naimani umeelewa nn namanisha mkuuMkuu hapa ni mimi nimelewa au hii miwani lens mbonyeo imepasuka?
Umeniinamisha nini mkuu?Ni makosa ya kiuandishi mkuu ila naimani umeelewa nn namanisha mkuu
Unavyokuja ndio unavyopokelewa sina hasira na ww shida yangu voda unakuja kuandika kejer nawe unajibiwa unasema hasira?Mbona hasira mkuu
TakoUmeniinamisha nini mkuu?
Kifupi wanakera sana aseeHuu Mtandao toka umeniharibia biashara yangu nikakosa Tsh 1.8 Kwa Siku 2 ,nialiamua kuvunja sim card Yao na Sasa nae njoy mitando mingine!
Mimi nilitoa ushauri tu kwamba uhame mtandao au nimekosea mkuu?Unavyokuja ndio unavyopokelewa sina hasira na ww shida yangu voda unakuja kuandika kejer nawe unajibiwa unasema hasira?
La BICHWA KOMWE - au?Tako
Unacheka tu mbuzi wa mshengaπππ
Hivi unafahamu watu wameshakaa na hizo laini kwa muda gan na namba wanazotumia ukibadili lain atawaletea usumbufu au kupoteza watu wangapi? Je ushafikiri kwa wenye biashara zao waanze badili namba tena atapoteza watu wangapi? Tanua fuvu hilo unapota kuandika jambo kuliko kutumia mihemko ya ujuaji ujinga.Mimi nilitoa ushauri tu kwamba uhame mtandao au nimekosea mkuu?
Wanapambana na kabenderaVODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya mawasiliano huku wakiendelea kutulia bando/vifurushi tunavyoeka?
Mbaya zaidi hata wakirudisha mtandao hewani hawaombi hata radhi au kuturudishia vifurushi vyetu!!! Hivi wenyewe hawaoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine na ni kosa kisheria kuwafanyia wateja usumbufu wa namna hii?
Soma Pia: Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?
Je, Waziri wa Wizara husika haoni hili pamoja na wasaidizi wake wakalikemea hili? Ni aibu na fedheha kama Wizara husika wakikubali na kuendelea kukaa kimya kwa vitu kama hivi wanavyofanyia wananchi maskini katika nchi yao. Au na hili linahitahi wanasiasa kushika shilingi bungeni?
Sawa ila kwa nn watukele kutuibia bando zetu na kutuletea usumbufu?Ongeza laini nyingine kama alternative
Haina noma basi sawaHivi unafahamu watu wameshakaa na hizo laini kwa muda gan na namba wanazotumia ukibadili lain atawaletea usumbufu au kupoteza watu wangapi? Je ushafikiri kwa wenye biashara zao waanze badili namba tena atapoteza watu wangapi? Tanua fuvu hilo unapota kuandika jambo kuliko kutumia mihemko ya ujuaji ujinga.