vodacom offer

vodacom offer

Offer ya vodacom bt tunapiga namba ya zantel?
 
kamanda si uweke wazi hapa hizo data tufaidi wote?
 
Ukinunua mordem ya vodacom unazawadiwa 5Gb ambazo zinadumu kwa mwezi 1. Mm nimenunua mordem nyengi kwahiyo hizo Gb naziuza. Kwasababu nimeona kuna watu wengi wananunua 5Gb kwa 25000
 
Hivi kumbe nikiwa na 10GB kwenye line yangu naweza kumuamishia mtu?
 
Ukinunua mordem ya vodacom unazawadiwa 5Gb ambazo zinadumu kwa mwezi 1. Mm nimenunua mordem nyengi kwahiyo hizo Gb naziuza. Kwasababu nimeona kuna watu wengi wananunua 5Gb kwa 25000

Kwa maelezo haya mwenye macho haambiwi tazama
 
Ungekua karibu ningekupiga na kili bariiiidi tano

wenzangu mm sifichi haya mambo.. kwasababu haya mambo sio ya siri kama pd and TG. haya ni official, kama mtuu anataka hiyo offer anaweza kwenda mwenyewe kununu mordem au kama hawezi anaruhusiwa huja kwangu... tumeelewana??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom