Wahuni sana na wamekuwa wezi wakubwa!,mimi nilikuwaga nikiona watu wakilalamika nilikuwa nachukulia poa sana nikidhani uenda watakuwa wanawasingizia,kumbe ni kweli tunaungwa kwenye huduma ambazo hatuzielewi na wanalamba salio!!,huu uhuni haukubarikiWanalazimisha sana mambo
Huu ni uhuni
Ova
Wezi wakubwa hawa,mkuu huwezi amini sijawahi jiunga na huduma hizi za kijinga kwasababu huwa naelewa zinakula salio bila sababu ya msingi!,na wameshajua watanzania wengi hawafuatilii na hata wakifuatilia watabaki kuumia tu moyoni,hivyo wanakuungwa bila wewe kujua na wanaanza kufyeka salio.Hiyo michezo mbona ipo sana hata Tigo wanayo hiyo michezo.
Hapo cha kufanya, ingia kwenye huduma extra
Sitisha matumizi bila bando Calls, Sms + Data. Hapa hata ukiweka hela ukawasha data utaikuta hela yako. Hawalambi hata mia
Na voda wananitumia sms kila saa, niruhusu hiko kitu.Hiyo michezo mbona ipo sana hata Tigo wanayo hiyo michezo.
Hapo cha kufanya, ingia kwenye huduma extra
Sitisha matumizi bila bando Calls, Sms + Data. Hapa hata ukiweka hela ukawasha data utaikuta hela yako. Hawalambi hata mia
Hawa wajinga wameshatuona watanzania mabwege sana,yaani pamona na rundo la huduma mbovu bado wanatuibia,we ngoja najua ipo siku itawagharimu na hawataamini wanachokifanyaHili hata mimi limenikuta! Jana tu nimepikokea message toka Voda ikinipa hongera kwa kuniunga na huduma ambayo mimi binafsi sijajiunga! Walishaniunga na huduma kinguvu hivi hivi na nilipoweka salio wakalifyeka kulipia huduma hiyo! Playinc07!!!
Hata ukisitisha matumizi bila bando, voda wanakata salio. Kwa mfano ukiwa na salio kwenye simu, usipotumia, baada ya kila siku moja utaona imepungua tsh 99 hadi salio linaisha.Hiyo michezo mbona ipo sana hata Tigo wanayo hiyo michezo.
Hapo cha kufanya, ingia kwenye huduma extra
Sitisha matumizi bila bando Calls, Sms + Data. Hapa hata ukiweka hela ukawasha data utaikuta hela yako. Hawalambi hata mia
Watu wana ungwa kimya kimya mtu anakatwa 150,250 tatizo watu wanachukulia poaWahuni sana na wamekuwa wezi wakubwa!,mimi nilikuwaga nikiona watu wakilalamika nilikuwa nachukulia poa sana nikidhani uenda watakuwa wanawasingizia,kumbe ni kweli tunaungwa kwenye huduma ambazo hatuzielewi na wanalamba salio!!,huu uhuni haukubariki