sulfametopyrazine
Senior Member
- Apr 3, 2013
- 134
- 26
Mi nimechukua hivyo vidude ZTE K3805-Z kwa 15,000 wala sijutii ela yangu
sIJUI WANAUZA MAPESA MANGAPI MAANA WATU TUMEFAKAMIA TU VYA UBWETE!!!!!!
VIDUDE VINA SEHEEMU YA KUCHOMEKA BOOSTER ANTENNA ILA KWENYE FURUSH HAWAKUIFUNGASHA JE NAWEZA PATA WAPI HAYO MAKITU ILI NISIKILIZIE MZIKI WA HSDPA
View attachment 119700
kama signal imejaa hata ununue hivyo vi antena haitasaidia labda iwe signal ni ndogo.
sifaham hata vinapatikana wap
sTRENGTH signal haiko full ni 3bars boss