No, mcheki advocate Hussein wa talesKibatala.....
Kuna ile wanakuunga huduma unakatwa hela kila siku ukiwapigia wanakuambia ulijiunga. Juzi nimekaa nashangaa meseji umeungwa huduma utakatwa 300 kila siku kujitoa bonyeza konyokonyo. Nikajiuliza kuna wale hawajui mambo mengi kwenye simu zaidi ya kupiga na kupokea wao ndio wanaumia sana.Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!
Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa nimatumizi yangu!!
Bando la 50000tsh na mtandao haufanyi kazi mda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!
Mnanikata bima makubaliano 4000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?
Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!
Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?
Basi Sawa!! Najipanga!!
Nimeachana na mtandao wa voda mwezi wa pili huu sijaweka vocha Kuna wizi wa kishamba sana hata kibaka hawezi fanyaHaya mambo hata kwangu yametokeaga tena hawa hawa Vodacom
Kilichonishangaza nikwamba muhudumu mwenyewe ukimuuliza hana jibu, haelewi akujibu nini!kuna ile wanakuunga huduma unakatwa hela kila siku ukiwapigia wanakuambia ulijiunga. Juzi nimekaa nashangaa meseji umeungwa huduma utakatwa 300 kila siku kujitoa bonyeza konyokonyo. Nikajiuliza kuna wale hawajui mambo mengi kwenye simu zaidi ya kupiga na kupokea wao ndio wanaumia sana.
Super true! Alafu wanakwambia unatumia sana internet wakati unakuta umeingia gharama kwa mitandao mingine ili ufanye kazi zako! Ukiigeukia ya kwao unakutana na SMS bando limeisha! 😡Internet ya voda ni mwendo wa kobe, wamenilazimisha nibadili ratiba na kuanza kufanya kazi usiku wa manane!
Kujua Vodacom ni weziKuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!
Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!!
Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!
Mnanikata bima makubaliano 4,000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?
Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!
Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?
Basi Sawa!! Najipanga!!
Hawaheshimu kabisa mteja! 😡Kujua Vodacom ni wezi
Unga salio la Tsh 1000 liache kwa simu,usipolitumia ndani ya masaa 24 unakuta limepungua,wamefyeka Tsh 100 au 200
Huduma inakuwa anasa sasa na sio nyenzo ya kukuza uchumi!Mitandao hii inafikirisha.
Nipe contact nataka na Mimi niwafungulie kesi vodaNo, mcheki advocate Hussein wa tales
Kwenye spidi ya internet utakuwa unawaonea. Ndio yenye spidi kuliko mitandao yote. Hilo la kuiba mb&sms linanisumbua kila siku.Internet ya voda ni mwendo wa kobe, wamenilazimisha nibadili ratiba na kuanza kufanya kazi usiku wa manane!
Mkuu mimi ni mtumiaji wa voda miaka yote, hata walivyoleta hii unlimited nilikuwa mteja wa mwanzo kabisa, ila hizi wiki mbili mpaka 3 ni chenga, toka waseme kuna tatizo kwenye mkonga baharini shida zote zilianzia hapo, labda wewe si mtumiaji au matumizi yako ni ya simu tu(hapo huwezi kunotice tofauti yeyote)Kwenye spidi ya internet utakuwa unawaonea. Ndio yenye spidi kuliko mitandao yote. Hilo la kuiba mb&sms linanisumbua kila siku.