Vodacom na malipo ya huduma kwa wateja.!

Vodacom na malipo ya huduma kwa wateja.!

wenfurebe

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
21
Reaction score
6
Siku hizi nikipiga huduma kwa wateja najibiwa muda wangu wakupata huduma bule umeisha napewa namba yakupiga na kulipia ndo wanisikilize alafu wameweka matangazo yao unasikiliza mitangazo yao hadi kero hadi upokelewe usaidiwe na elfu 2 inakuwa imeisha. Wananikera na huduma zao basi tu sina lakufanya.
 
Back
Top Bottom