wakuu tangu subuhi leo kutuma pesa na kutoa pesa ni shida sanaa kupitia mtandao huu wa vodakom sijui kuna shida gani ,kama kuna mtu amepata shida hii atujuze
hawakawii kuwa wamejikopesha pesa ze2 na kuzizungusha juu kwa juu...only in tanzania haya mambo yanatokea huku tcra na voda hq wamekaa kimya wala hawatoi taarifa yoyote yenye uhakika. kalaghabao!
ni heli uweke pesa yako kwenye kibubu itakusaidia ukiwa na shida kuliko kwenye line...ivi mtu ambaye ana mgojwa na wenye matatizo na pesa yake ipo kwenye account ya m pesa ..
ni heli uweke pesa yako kwenye kibubu itakusaidia ukiwa na shida kuliko kwenye line...ivi mtu ambaye ana mgojwa na wenye matatizo na pesa yake ipo kwenye account ya m pesa ..
Tangu tar 9 june mtandao wa mpesa umekufa nilinunua umeme wa 5000 kimya,nikanunua wa 2000 kimya hakuna jibu nikiwapigia wanajibu mda wako wakuongea bure mwezi huu umeisha kwanini kampuni isifutwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.