Kila nikiweka Vocha Vodacom wanakata bila maelezo. Nikiwauliza customer care wanasema eti ninakatwa Jay Milion.Ikiwa ndivyo mbona sipati Ujumbe wa Kushinda au Kukosa. Imetosha VODACOM acheni WIZI
Wanakera sana hawa voda siwapendi ka nini na promotion zao za wizi....afadhari airtel mpaka ujiunge kifurushi unaingizwa direct ....sasa voda ni shida mpaka line yao situmii mpaka wamalize wizi wao huo