KERO Vodacom na CRDB ni wezi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu.

Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100..

Sasa unapojaribu kuitumia huwa wanakata hiyo fedha haijalishi umefanikiwa au haujafanikiwa. mara nyingi miamala huwa inafail na pesa huwa wanakata..

NINACHOWEZA KUSEMA NI KUWA HUU NAO NI UOVU NA NI WIZI HAIWEZEKANI WAKATE PESA NA HUJAFANIKIWA KUPATA HUDUMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…