Vodacom muwe na huruma basi, MB 1 kweli!

Vodacom muwe na huruma basi, MB 1 kweli!

Joined
Jul 12, 2014
Posts
61
Reaction score
17
Sio nawakejel ila najaribu kuwaeleza uhalisia uliopo na hasa kwa kipindi hiki ambapo watu wanategemea sana kupata habari kupitia mitandaoni.

Meneja wa masoko tafadhari wateja wenu tunaomba hlo suala la 1mb mliangalie vzuri.

Kwa dunia ya sasa mitandaon ni muhimu sana ila ninyi mnatulazmisha tununue vocha ya dakika na vocha ya internet mmemuangalia mteja wa kijijini lakini ambae vocha ya 500 ananunua kwa 600. Voda tunawapenda sana ila mmh kwahali hii mnataka tuumie.

Meneja nadhani JF nawe ni member. Tunaomba utuelezee sababu ya kutoka 8mb hadi 1mb.

N mtazamo wangu kama nimekosea msinishtaki kwa kosa kimtandao ila mnielimishe nipate elewa.

Naomba kuwasilisha.
 
Hii nidharau iliopitiliza kwa wateja wao. Karibu Halotel
 
unalialia nini wewe kwani umeandikishiana nao mkataba?hamia kwengine
 
Makampuni mengi ya kiaAfrika yakitajirika lazima yalete dharau kwa wateja wao coz hawana namna ya kusolve hilo tatizo. Unaweza kuhamia mtandao mwingine nao pia wakadiscuss na management wakawa na hiyo 1MB. Hawa watu wanadharau kubwa kupita kiasi 1MB huwezi kufanya anything ile unasign in tuu kwenye Jf or Fb data imeisha coz hata speed ya Internet ni poor.
 
Hata mimi nimewashangaa sanaaaaa, jamaa wana dharau sana, tigo kila siku wanatoa 200 MB za bure sijui wenyewe hawapati faida hao voda?? Kila siku inakubidi ununue kifurushi cha bila kikomo cha buku, niko njian kuhamia tigo , too shamee!!!
 
Mutwe niester Fiati Carbondioxide nasmapesa mkachu shuhudia lihemla
Nawasihi kwa mamlaka yangu kwa kuwa ni mteja wao jaribuni Zanzinar Telecom, maana wana nafuu kubwa sana, ila ndugu zangu watz tumezoea ile lugha kizuri chajiuza, ....!

Hawa jamaa wana 25mb, 100sms na 7mins mitandao yote, japo walipunguza na kuwa 6 but wameongeza leo kifurushi chote hicho kwa shs 300/- nini zaidi upewe?
 
Last edited by a moderator:

I'm using wireless Internet access kaka. Nimechangia tuu mzeiya. Thanks though.
 
Last edited by a moderator:
Liserikali limelala tuuuuuu...hata kutetea wananchi hayajuwi!!!!
 
Back
Top Bottom