ππππWanafanya simu zetu ndio vituo vyao vya matangazo, inabidi waanze kutulipa shuaini hawa. Mameseji yao hadi usiku umelala yenyewe yanatuma tu!
Unaziblock vipi? Maana nyingi hazina nambaNi kuchapa block tu, full stop
Report as spam then okUnaziblock vipi? Maana nyingi hazina namba
Mimi simu yangu ina 'block phrases" unaandika maneno yote ambayo yakiwa kwenye msg hiyo msg iblokiwe.Unaziblock vipi? Maana nyingi hazina namba
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Report as spam then okView attachment 1832734
Nadhani kuna wadau wataniunga mkono kwa hili
Vodacom mmezi na mameseji yenu ya promo yani nimejaribu kufuatilia mitandao yote lakini kwa vodacom mmezidi yote punguzeni jamani had I mda mwingine tuapuuzia kusoma meseji za maana kwa kudhani mmetuma nyie hizo za kwetu
Mwe mwe mweeeh!! Kwahiyo hii tekino yangu nipambane na hali yangu?Mimi simu yangu ina 'block phrases" unaandika maneno yote ambayo yakiwa kwenye msg hiyo msg iblokiwe.
Mfano "Mkopo" mameseji yao yenye neno mkopo yote hautayaona.
Songesha, Shangwena, hongera ! Wow! Ni rahisi! Milionea! Sport pesa, soka letu nk. Hayo maneno yote nimeyalima block hivo sipokei mimeseji yao. Na namba zinazopiga nimeblok pia.
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mbona siioni hiyo option kwenye simu yangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye nokia tochi hiyo option haipo [emoji23]
Pole π€§[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mbona siioni hiyo option kwenye simu yangu?
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji24]Pole [emoji1784]