Kweli we kilaza maana hii haihitaji hata kukusanya data ili kuifanyia research,si ununue tu vocha ya m-pesa uone habari yake,wenzio sisitunakula 30%kila tunaponunua vocha,we kaa tu na litigo lako.
ni kweli ukinunua muda wa maongezi kwa kutumia M-PESA unapata bonus ya 25%, hiyo 25% bonus inawekwa sehemu tofauti na salio lako la muda wa maongezi wa kawaida