Mkuu siyo jana tu, VODACOM wana tatizo almost wiki mbili au zaidi.
Mimi sijawahi kubadili namaba ya simu yangu for almost 10 yrs na sasa naona madudu
- ukipiga simu hai-connect
- ukipiga simu unasikia sauti yako mwenyewe-its crazy!!!
- simu ikisha connect in jam na kukata mawasiliano
- wakati mwingine kuna muungurumo kwenye mawasiliano
- ukikata simu haikatiki na inaendelea kukata senti
Naamini TCRA wata fuatilia tatizo hili maana baada tu ya kupunguza gharama za connection kati ya makampuni ya simu ndiyo haya matatizo yamekithiri.