Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 252
- 145
Toka usiku hakuna mtandao, nikafikiri ni simu yangu tu. Lakini asubuhi nikacheki na simu ya wife nayo pia haina mtandao. Kuna tatizo gani huu mtandao wa Vodacom? Je wenzetu hapa Dar mnapata mtandao?
Mbano mm natumia mtandao wa Voda? Jana siku nzima mpaka saa sita usiku nimetumia na asubuhi hii naendelea nao.Wametaka wenyewe wakanipa siku saba free internet.Nakomaa nao mpaka waombe poo.Full download mpaka tablet imepata moto.
Mkuu siyo jana tu, VODACOM wana tatizo almost wiki mbili au zaidi.Toka usiku hakuna mtandao, nikafikiri ni simu yangu tu. Lakini asubuhi nikacheki na simu ya wife nayo pia haina mtandao. Kuna tatizo gani huu mtandao wa Vodacom? Je wenzetu hapa Dar mnapata mtandao?
Mimi 3G Yao siipati mwezi sasa Edge ndo inapatikana balaa hili
Tunarekebisha baadhi ya switch zetu.
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
Vodacom. Power to you.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Upo Dar mh?