PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
limekua sasa ni tatizo mtu unanunua kifurushi cha [enternet] cha bila kikomo lakini unatumia ikishafika mb 700 unatumiwa sms kuambiwa unapunguziwa speed,sasa najiuliza ni nini maana ya bila kikomo?
mbaya zaidi,wakishapunguza speed yaani huwezi kufanya kazi yoyote maana internet inakwenda kama konokono​ sasa uhu si uhuni? Embu jirekebiseni ihi ni tabia mbaya na ni uwizi,
mbaya zaidi,wakishapunguza speed yaani huwezi kufanya kazi yoyote maana internet inakwenda kama konokono​ sasa uhu si uhuni? Embu jirekebiseni ihi ni tabia mbaya na ni uwizi,