Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
hapo umeibiwa mkuu!! mm nilibadili yangu ni bure kabisa!! nilikwenda pale Morocco makao makuu!! sikudaiwa kitu but mtaani ndio wanamichezo hiyoleo nimeenda kubadili simcard yangu ya vodacom kusudi wanipatie inayosapoti 4G chaajabu eti kubadili nimeobwa Tsh 2000 daah mpaka nomechoka sasa nahiuliza hili ni kwa wote ama ni baadhi ya vodashop
Ukienda uchochoroni ndo tabia yao kudai hera hata kwa huduma za buree mi pia niliwai badili pale china plaza zamani mobile plaza kariakoo bureee tena haraka zaidi kaka dakika 2 tu tayar nikapewa lain yangu ingiza ktk cm mambo yanajipahapo umeibiwa mkuu!! mm nilibadili yangu ni bure kabisa!! nilikwenda pale Morocco makao makuu!! sikudaiwa kitu but mtaani ndio wanamichezo hiyo
mkuu mimi nimeenda kabisa vodashop inayopatikana hapa dar mpaka Milan hip za kubadili laini 2000 jee kama umepoteza, basi kama ni hivo kuna shida mahala mi nikazani labda utaratibu mpyahapo umeibiwa mkuu!! mm nilibadili yangu ni bure kabisa!! nilikwenda pale Morocco makao makuu!! sikudaiwa kitu but mtaani ndio wanamichezo hiyo
mimi pia nimeenda vodashop kubw hapa dodomaUkienda uchochoroni ndo tabia yao kudai hera hata kwa huduma za buree mi pia niliwai badili pale china plaza zamani mobile plaza kariakoo bureee tena haraka zaidi kaka dakika 2 tu tayar nikapewa lain yangu ingiza ktk cm mambo yanajipa
basi wafanyakzi wa voda si watiifu na hawafuati madili ya kaziMliman cty wana hiyo tabia, ile hela inaingia mfukon
kwa nilipo haisumbuiNetwork yake sasa ndo changamoto
Kiutaratibu huduma ni bure isipokuwq km unanunua vochabasi wafanyakzi wa voda si watiifu na hawafuati madili ya kazi
mimi hata vocha sijapewaKiutaratibu huduma ni bure isipokuwq km unanunua vocha
aah ndio maana niivomuliza elfu mbili alikaa kimya ila nikatoa nikampaUkienda vodashop kubadili laini kuwa 4G huwa ni bure,mtaani ndo huwa wanatoza watu hela....Hata kujisajili laini mpya vodashop huwa ni bure cha zaidi utaambiwa utoe buku ambayo yenyewe unapewa vocha
Hiyo helq imeingia mfukon mwa mhudumu, mimi nilikataa.. akaniangalia kwa jicho la aibu... hahahahmimi hata vocha sijapewa
hahaha sawa mkuuHiyo helq imeingia mfukon mwa mhudumu, mimi nilikataa.. akaniangalia kwa jicho la aibu... hahahah
Mwezi uliopita nilisajili line Vodashop ya pale China Plaza na nililipishwa Buku jero,sio bure MkuuUkienda vodashop kubadili laini kuwa 4G huwa ni bure,mtaani ndo huwa wanatoza watu hela....Hata kujisajili laini mpya vodashop huwa ni bure cha zaidi utaambiwa utoe buku ambayo yenyewe unapewa vocha
hali ni tete mkuuDuuh. jana nime unga ka bando ka 1000 university ofa unit 500...nime ingia insta na JF dk 10 tu nambiwa zimeisha duuuh nilichokaaa...[emoji2299][emoji2299]