Vodacom Huduma kwa wateja is dead?

Niliweka akiba mpawa asee ile pesa ilitoweka, kila nikiwapigia simu hawana jibu, pole yako mkuu
 
Limenitokea tatizo kama hilo na niliwasiliana nao pale pale, lakini hii wiki ya tatu sasa nazunguushwa tu, kwa kweli sikutegemea........i
 
Wananchi inabidi tupate utaratibu wa kuwashitaki.
TCRA na hata Benki Kuu kazima waellimishe watu juu ya utaratibu wa kuwashitaki iwapo miamala inachezewa na watoa huduma.
 
Wamelala ...mbona nimepiga huduma kwa wateja Jana usiku na tatizo limeshughulikiwa?!
 
Mkuu kuwapata hao Voda kwenye huduma ya wateja , simu no 100, ni sawa na kumpata kakakuona.
 
Wananchi inabidi tupate utaratibu wa kuwashitaki.
TCRA na hata Benki Kuu kazima waellimishe watu juu ya utaratibu wa kuwashitaki iwapo miamala inachezewa na watoa huduma.
Ni sawa sana mkuu.
Hii huduma ya Mpesa si hisani, ni business contract.

Inabidi tuwapate TCRA/BOT kwa namna ya kuwashitaki watoa huduma wasiotekeleza wajibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…