masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
NILISHASEMAGA VODA NI WAHUNI TU!Mpaka saa hizi saa saba na robo usiku, no action.
Vodacom ni laghai.
halotelTulikuwa tunaamini katika upande wa mobile pesa za mitandao yote voda ndiyo waaminifu kuliko wote, sasa hivi watu mnaikandia Voda mnasema M-PESA ni wezi, mpaka hapo maana yake hamna tena mtandao mwaminifu kwenye mobile money, twende mtandao gani sasa kama yote ni matapeli?
Ngoja tuhamie huko.halotel
Wakuu nimemtumia ndugu fedha za sikukuu leo mchana , kwa M Pesa,lakini kule ziendako hakuna message iliyokuwa delivered ili mtu atoe zile fedha.
Nimewapigia Vodacom Huduma kwa wateja, hakuna jibu kabisa~NO ANSWER KABISA!
Sasa sijui hili ni tatixo langu mwenyewe au Voda ndo wamejikusanyia hela ya pasaka kupitia wateja?
Mkuu simu haikupikelewa, imeita mpaka ikajatuka!Hakuna jibu kabisa unamaanisha nini mkuu, Simu haikuita wala kupokelewa?
Mkuu mimi nime record toka napiga huduma kwa wateja 100, hadi kukatuka simu dakika 3.30, lakini nashindwa ku upload hapa.Huduma kwa wateja voda ni ovyo sjawah ona
Wanachelewa kutatua shida m walnzungusha wiki2 nzima na bado walipoona nawasumbua wakawa wanapokea cm AF awaongei
Sema akili ya kuwarekodi ili nimtumie mkurugenzi wao ilinijia kipindi hawapokei cm zangu so nlishindwa kuwwshughulikia
Sita saau Dada 1 iv alinijibu nyodo sana
to be honesty Voda costumer care wanazingua ni hataree