sausage
Member
- Jul 30, 2012
- 80
- 40
Hii company ya VODACOM imekuwa ikitoa offer za Uongo wanakwambia sekunde 900 na sms mia lakini ukishajiungu wanakata zaidi ya Hiyo 350 ukiwapigia cmu wanakwambia umekoseaau muda umeisha kwenye voice mail na ikiangalia kwenye simu yako huna mtu anayetumia voice mail kwakweli huduma za voda no mbaya na kero ,mara cmu haipatikani Wakati uliongea naye dk 1 iliyopita mara network busy ,mara out of service area. Sio kwamba tunashindwa kuwahama ila mtu anafikiria ni vitu vingapi atapoteza kwakubadilisha namba za simu. VODACOM PLS BADILIKENI TUMECHOKA UMEKUWA KERO !!!!!!