wakuu,nina wiki moja natumia moderm ya voda free kucheza youtube video kwa zile IP adddres zilizotolewa na E2thmiza na wenzake.
lakini leo nimejaribu kuuunga kifurushi cha siku moja cha 150MB kwa sh 3000 lakini ndani ya dk 1 zilishakombwa.
nikanunua MB 20 ya sh 500 kwa test ikakombwa kwa sekunde.hivi kumbe wanarudisha pesa yao yote niliyotumia free?
hivyo wale wanaofurahia vya bure kihama chaja wakuu
nipo nimenyeshewa na mvua,nifanyeje?

mama wee, yaani 150mb voda wanachaji 3000/- tena kwa siku moja tu, wakati Airtel wanauza 400mb kwa 2500/- tu, halafu kwa mwezi mzima.
wateja wa voda are you normal?

mkuu, mi natumia sasatel, kwa sh 2000 napata mb 82, usijali wote tunakuja airtel, kunatosha?mama wee, yaani 150mb voda wanachaji 3000/- tena kwa siku moja tu, wakati Airtel wanauza 400mb kwa 2500/- tu, halafu kwa mwezi mzima.
wateja wa voda are you normal?
wakuu,nina wiki moja natumia moderm ya voda free kucheza youtube video kwa zile IP adddres zilizotolewa na E2thmiza na wenzake.
lakini leo nimejaribu kuuunga kifurushi cha siku moja cha 150MB kwa sh 3000 lakini ndani ya dk 1 zilishakombwa.
nikanunua MB 20 ya sh 500 kwa test ikakombwa kwa sekunde.hivi kumbe wanarudisha pesa yao yote niliyotumia free?
hivyo wale wanaofurahia vya bure kihama chaja wakuu
nipo nimenyeshewa na mvua,nifanyeje?
Tigo line ndo mpango mzima unlimited mwaka mzima
Iko haja ya kuhoji umakini katika kufikiri wa watumiaji wa vifurushi vya Voda na hiyo mnayoiita Tigo kutokana na bei zao kubwa na huduma mbovu kabisa. Mi nilishaacha zamani kutumia vifurushi vya hiyo mitandao na sasa niko Airtel ambako naona mambo ni shwari. Labda ninapokuwa sehemu ambapo hakuna mtandao wa Airtel, jambo ambalo kwa siku hizi ni kama ndoto vile maana unapatikana sehemu nyingi ninazotembelea kwa hiyo modem za Tigo na Voda zinabaki mapambo tu. Wezi wakubwa hao!mama wee, yaani 150mb voda wanachaji 3000/- tena kwa siku moja tu, wakati Airtel wanauza 400mb kwa 2500/- tu, halafu kwa mwezi mzima.
wateja wa voda are you normal?