Vodacom at loliondo

estson22

Senior Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
102
Reaction score
13
habari zenu wana jf now vodacom is at semungekwa babu,from yesterday mchana tarehe 22,sasa sijui watatoatangazo gani zidi ya airtel
 
Vipi ulikuwa huko samunge nini ? Umepata nafuu au umepona kabisa.
 
Too late!
Airtel walishapiga hodi kwa Babu siku nyingi. Vodacom wamekazania kuwinda viongozi na kupiga picha nao mara Kikwete, mara Museven mara sijui nani. Lakini wanasahu kazi yao kubwa ni kuhakikisha wateja wao wanapata huduma za uhakika na sio kuona picha za wafanyakazi wakikenua meno na wanasiasa. too much bling bling vodacom, tulieni!
 

Taratibu mzee!
 
Nadhani tutegemee kuviona vikaragosi vimeshika vikombe vikinywa dawa kwa babu.Si unajua tena vodacom na advtz siku hizi wamekuja na mfumo mpya wa vikaragosi.Inaelekea tangazo lao litaonesha vikaragosi kwenye bajaji(bajaza) ikispeed kuelekea samunge loliondo teh,teeeeh!!
 
Inabidi wampelekee simu ya line mbili Babu.
 

nimeipenda,na kweli voda wamekuja na vikatuni, mara bajaza,mara fuso cjui baiskeli,mara giita .,sasa ni mwendo wa bajaza kwenda loliondo..teh teh teh
 
Ndo tulikua uko kwa kazi ya rf techinically
 
Sasa huwezi amini mtandao ulikua ulivo kua hewani mbona baada ya nusu saa watu walijaaa ktk netwok
 
Mhh mkubwa unakaribia ukweli au tuone kile kibajaza cha milango mi3 kikiongozwa na babu
 
Sikupiga kikombe kwani nilikua over bussy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…