Yaani kifurushi kapandish kwa 50% yaani kutoka
Tsh.1,000/= mpaka Tsh.1,500/= , na mbaya zaidi
sio ulimited bundle but simply 1GB bundle.
nyie vodacom ni jipu linalohitaji kutumbuliwa pwaaa.....
Yaani kifurushi kapandish kwa 50% yaani kutoka
Tsh.1,000/= mpaka Tsh.1,500/= , na mbaya zaidi
sio ulimited bundle but simply 1GB bundle.
nyie vodacom ni jipu linalohitaji kutumbuliwa pwaaa.....
Kwa kweli airtel ndio mtandao kimbilio Mimi ni mtumiaji wa tigo lakini naipa salute airtel na ndio nimeamia, yani buku unapata 1 gb na 600 unapata 10gb usiku hadi raha..... Naomba tu na wao wasitugeuke
Mimi nashindwa kuelewa uwekezaji wote uliofanywa kwenye sector ya mawasiliano lengo kuu ilikuwa ni kupunguza gharama but kila siku zinapanda.TCRA nao ni jibu ni wakati wao sasa kubana haya makampuni ya simu huu ni mwaka 2015 internet ni muhimu sana sio anasa. Naomba serikali ya awamu ya tano iangalie jinsi ya kupunguza hizi gharama za internet zinatumiza sana
wanakera hadi wanaboa....ki ukweli hata kama ni kudhibiti watumiaji wa mtandao ila voda wamezidi, ila usikonde karibu halotel japo nao ndo wale wale ila angalau tukipungua voda watajifunza kitu, huenda wataje ni wengi wanatufukuza makusudi
ni kweli mitandao yote ya simu hapa nchini ni majangiri wa kufa mtu na tena ni majipu sugu na kila kukicha wanatuibia, mfano voda walikuwa wa kwanza kupunguza vifurushi na kubadili mda wa ukaaji wa vifurushi haya yote ni matokeo ya Akina Makamba maana wanalinda hisa zao, na arifikiri atapewa tena wizara ya mawasiliano maana alituacha na mb 1 angerudi angetuacha na dk 0 kwa jero
Mim nimevunjavunja lain ya voda kwa hasira Mara ya kwanza waliniibia hela yangu nilihamisha kutoka M-PESA kwenda kwenye sim kama Salio wakakata hela yangu haikuingia pili mtandao wao umekuwa wa waaajabu ajabu hakuna network yaani ovyo kabisa nimehamia Halotel na Tigo nakula bata raja mstarehe