MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,780 Reaction score 8,088 Sep 5, 2022 #1 Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87.
Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87.
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,374 Sep 5, 2022 #2 hio 50 inaisha jumla jumla kwenye tozo
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,293 Reaction score 3,036 Sep 6, 2022 #3 Hiyo faida uliyopewa na VODACOM huwezi hata kununua pipi
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,927 Reaction score 61,050 Sep 6, 2022 #4 USHAURI...GAWIO LIGAIWE KWA WATU WACHACHE KILA MWEZI...MFANO JANUARY WANACHAGUA WATEJA 1000 WALE WA MIAMALA YA KIAS FULANI MPK KIASI FULAN WANAWAGAIA WOTE.. MWEZI UJAO WATEJA BUKU TENA MPK RAUNDI ZOTE
USHAURI...GAWIO LIGAIWE KWA WATU WACHACHE KILA MWEZI...MFANO JANUARY WANACHAGUA WATEJA 1000 WALE WA MIAMALA YA KIAS FULANI MPK KIASI FULAN WANAWAGAIA WOTE.. MWEZI UJAO WATEJA BUKU TENA MPK RAUNDI ZOTE
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,956 Sep 6, 2022 #5 MakinikiA said: 9I757SA4SGR Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87. Click to expand... Usiposhukuru kwa kidogo kamwe huwezi kushukuru kwa kikubwa,🤣🤣
MakinikiA said: 9I757SA4SGR Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87. Click to expand... Usiposhukuru kwa kidogo kamwe huwezi kushukuru kwa kikubwa,🤣🤣
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 Sep 6, 2022 #6 Mokaze said: Usiposhukuru kwa kidogo kamwe huwezi kushukuru kwa kikubwa,🤣🤣 Click to expand... na wao waruhusu basi tuwe tunaenda kwa wakala kuingiza au kutoa hiyo tsh 50...mbona wao wana viwango vya kuweka na kutoa...
Mokaze said: Usiposhukuru kwa kidogo kamwe huwezi kushukuru kwa kikubwa,🤣🤣 Click to expand... na wao waruhusu basi tuwe tunaenda kwa wakala kuingiza au kutoa hiyo tsh 50...mbona wao wana viwango vya kuweka na kutoa...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,470 Reaction score 869,915 Sep 6, 2022 #7 MakinikiA said: 9I757SA4SGR Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87. Click to expand... Ni faida na hasara za gawio
MakinikiA said: 9I757SA4SGR Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87. Click to expand... Ni faida na hasara za gawio
Nduna shujaa Senior Member Joined Aug 14, 2022 Posts 163 Reaction score 135 Sep 6, 2022 #8 MakinikiA said: 9I757SA4SGR Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87. Click to expand... Nawashangaa hawa na sijuwi wanatumia kigezo gani kutoa gawio.
MakinikiA said: 9I757SA4SGR Imethibitishwa. Umepokea Tsh50.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 5/9/22 saa 11:35 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh200,072.87. Click to expand... Nawashangaa hawa na sijuwi wanatumia kigezo gani kutoa gawio.