Voda M-Pesa wananiibia

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Nadhani sitawasahau kwa hili voda

Jumanne nimefanya muamala wa Mpesa kwenda Tigo pesa kama salio la kutuma kawaida

Nikarudishiwa sms muamala haujakamilika

Nikachek salio na kukuta pesa imetoka laki moja na 49 haipo kwenye simu

Nikapiga simu wakanijibu ipo hewani inaenda kwa niliyemtumia

Baada ya masaa mawili nikapiga wakajibu nisiwe nawasiwasi itaingia kule muda si mrefu haizid dak tano

Mpaka usiku bilabila ikabidi nipige tena wakajibu niache presure itaingia

Asubuh nikapiga wakanijibu 72 hrs

Nikakaa mpaka jana masaa 72 yamepita napiga naambia tena 72 hrs

Ivi mnadhani watu hiyo pesa hawana matumizi nayo? Mbona mnakuwa wezi hivyo? Kama mmechukua hiyo pesa mnazungushia biashara zenu ndo muirudishe si mseme?

Mbona tigo huwa wanashughulikia wateja wao haraka na hata kabla masaa 72 wanayosema hayajapita pesa inakuwa imerudi?

Tafadhali acheni wiz na rudishen pesa yangu
 
Voda ni janga mie 70000 ilikuwa mpawa but mpaka leo wananizungusha nimeenda hadi Voda shop lakini hakuna kitu
 
Hiyo jamaa, utapigwa longo longo na customers care mpaka utajuta.... '
 
Voda ni janga nilikuwaga na shida kiteto nilitumiwa hera nilijuta nikaja kuitupa line yao uvungu wa kitanda
 
Back
Top Bottom