Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Great thinker ni nini!?We nae ni great thinker.??
Ili ule lazima uliwe yakheeeKukula ww Mtanzanika
Kwa mfano una line mbili mpya za simu, moja ya voda na nyingine ya tigo. Ukanunua vocha ya sh.2000 ya voda, ulipoiweka tu ikaliwa. Ukanunua na vocha ya sh.500 ya tigo...ulipoieweka tu nayo ikaliwa. Je! kipi afadhali hapo kati ya kuliwa voda au kuliwa tigo?
Jibu swali kwanza Mkuu!Kwani 2000 na .500 zinafanana?
Kwa mfano una line mbili mpya za simu, moja ya voda na nyingine ya tigo. Ukanunua vocha ya sh.2000 ya voda, ulipoiweka tu ikaliwa. Ukanunua na vocha ya sh.500 ya tigo...ulipoieweka tu nayo ikaliwa. Je! kipi afadhali hapo kati ya kuliwa voda au kuliwa tigo?
Hujaelewa wapi...?Swali halieleweki.
Kwani wewe ulipoweka uliliwa nini?
sijaweka.Kwani wewe ulipoweka uliliwa nini?
mkuu pole sana kwa kutafunwa tigo.Itakuwa mwenye mada aliliwa tigo