Voda aisee aibu hii

Cheer5555

Senior Member
Jun 29, 2013
173
200
Habari wakuu humu ndani.
Jamani hawa voda nitabu kwasana. Jamaa naweza kuwaita wezi hawa. Kwa ssb. Tarehe 21june nilifanya muamala wa mpesa. Militia kiasi kidogo toka mpesa kwenda KCB bank. Same day nikatoa kiasi cha pesa toka Mpesa kwenda Tigo pesa. Lahaura nikaingia mkenge miamala haikupass lkn pesa ikatoweka kwa account yangu ya M-PESA. Nikawa nikiwapigia kila baada ya cku tatu wananambia tunashughurikia aisee hakika wamenichosha sana. Wiki mbili sasa naona chenga mpk nataka nihame mtandao.hivi nini kipo huko jamani? Wanadhurumu mpk 20,000tsh. Wananjaa aisee
 
Pole wako kwenye bahati nasibu!Wakimaliza watakusikiliza shida yako uwe mvumilivu tu subira yavuta heri!
 
hahahhahaha,mkiambiwa muhame huko hamsiki na mpigwe tu maana hamna namna!

If you don't like where you are move, you are not a tree!
 
Back
Top Bottom