MAKUNENGO Member Joined Oct 25, 2014 Posts 69 Reaction score 6 Jul 31, 2015 #1 Habari ya sasa ... nilikosea kununua vocha kwa ajilj ya kufanyia udahili wa chuo, baada ya kununua vocha ya TCU nikanunua ya NACTE ambayo sitaweza kuitumia. naiuza kwa gharana nafuu 35,000mwenye kuitaji anipigie 0718681277 .
Habari ya sasa ... nilikosea kununua vocha kwa ajilj ya kufanyia udahili wa chuo, baada ya kununua vocha ya TCU nikanunua ya NACTE ambayo sitaweza kuitumia. naiuza kwa gharana nafuu 35,000mwenye kuitaji anipigie 0718681277 .
Mpambalachuma JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 362 Reaction score 44 Jul 31, 2015 #2 Pole mkuu
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,344 Reaction score 21,241 Jul 31, 2015 #3 Pole mkuu yalinikuta hayo jaribu kwenda kwenye Internet Cafe unaweza fanikiwa ongea na wahufumu
P pweza11 Member Joined Jul 29, 2015 Posts 56 Reaction score 13 Jul 31, 2015 #4 Usaili kwa NACTE deadline imeisha mkuu imeisha 17/7 Pole sana
MAKUNENGO Member Joined Oct 25, 2014 Posts 69 Reaction score 6 Jul 31, 2015 Thread starter #5 pweza11 said: Usaili kwa NACTE deadline imeisha mkuu imeisha 17/7 Pole sana Click to expand... Ya kweli hayo
pweza11 said: Usaili kwa NACTE deadline imeisha mkuu imeisha 17/7 Pole sana Click to expand... Ya kweli hayo
MAKUNENGO Member Joined Oct 25, 2014 Posts 69 Reaction score 6 Jul 31, 2015 Thread starter #6 pweza11 said: Usaili kwa NACTE deadline imeisha mkuu imeisha 17/7 Pole sana Click to expand... Haaa wameongeza mda mkuu
pweza11 said: Usaili kwa NACTE deadline imeisha mkuu imeisha 17/7 Pole sana Click to expand... Haaa wameongeza mda mkuu
MAKUNENGO Member Joined Oct 25, 2014 Posts 69 Reaction score 6 Jul 31, 2015 Thread starter #7 Marco Polo said: Pole mkuu yalinikuta hayo jaribu kwenda kwenye Internet Cafe unaweza fanikiwa ongea na wahufumu Click to expand... Daah ase acha tuu
Marco Polo said: Pole mkuu yalinikuta hayo jaribu kwenda kwenye Internet Cafe unaweza fanikiwa ongea na wahufumu Click to expand... Daah ase acha tuu
D donald james Member Joined Jan 6, 2014 Posts 43 Reaction score 7 Jul 31, 2015 #8 ni ile ambayo unalipa via m pesai.e NACTE CAS?tuambiane jaman
MAKUNENGO Member Joined Oct 25, 2014 Posts 69 Reaction score 6 Aug 1, 2015 Thread starter #9 Yeah ndo iyo mkuu
MAKUNENGO Member Joined Oct 25, 2014 Posts 69 Reaction score 6 Aug 1, 2015 Thread starter #10 donald james said: ni ile ambayo unalipa via m pesai.e NACTE CAS?tuambiane jaman Click to expand... Ndo iyo mkuu.. niliingia cha kike kidogo
donald james said: ni ile ambayo unalipa via m pesai.e NACTE CAS?tuambiane jaman Click to expand... Ndo iyo mkuu.. niliingia cha kike kidogo
M minywele Member Joined Mar 3, 2015 Posts 39 Reaction score 14 Aug 1, 2015 #11 Nacte mwisho tarehe 2 aug....