Ni kweli mkuu mwanzo ilikuwa ukipata mb 500 zinakaa kweli unaona kabisa kuwa zimetumika kihalali ...ila now days hata gb 1 ukiweka almost haichukui muda inaisha almost kama mb 500 ndo uliwekaMimi natumia line ya halotel ila wanakata MB kwa kasi sana sijui kama wenzangu hili lipo kwenu pia?
Jana nimenunua MB mia 600 nachat mitandaoni bila kupakua chochote baada ya saa moja wakadai zimeisha,Nikaongeza tena wakakata tena zilipofika MB 32 nikawapigia kuwauliza wakadai zinatumika kawaida wakati huo naongea nao wanasema zimebaki 10 na kabla sijawapigia zilikuwa 32 yaani wamenikera sana.Ni kweli mkuu mwanzo ilikuwa ukipata mb 500 zinakaa kweli unaona kabisa kuwa zimetumika kihalali ...ila now days hata gb 1 ukiweka almost haichukui muda inaisha almost kama mb 500 ndo uliweka
Halotel ukitaka kuifurahia nunua bundle ya mwezi line ya wanafunzi GB 10 Tsh. 10000 na airtime unapataMimi natumia line ya halotel ila wanakata MB kwa kasi sana sijui kama wenzangu hili lipo kwenu pia?
Nilikuwa nanunua bando la wiki nakaa hata siku 4 nikiwa nachati bila kupakua sasa hivi wanakata sana data ni masaa mawili tu hazipo tena hata kama sijapakua chochoteHalotel ukitaka kuifurahia nunua bundle ya mwezi line ya wanafunzi GB 10 Tsh. 10000 na airtime unapata
Tumia AIRTEL ofa yaoHalotel ukitaka kuifurahia nunua bundle ya mwezi line ya wanafunzi GB 10 Tsh. 10000 na airtime unapata
sijaelewa vzr matumizi ya neno almost hapaNi kweli mkuu mwanzo ilikuwa ukipata mb 500 zinakaa kweli unaona kabisa kuwa zimetumika kihalali ...ila now days hata gb 1 ukiweka almost haichukui muda inaisha almost kama mb 500 ndo uliweka
Mpaka leo unatumia goti kuwasiliana, pole sana mkuu!Jamani ni simu yangu tuu au?
Vocha hazikai kwenye simu, kupiga mitandao mingine imeshindika, vifurushi havikai tena.
Natumia laini ya tigo
Ni laini yangu tu au?kupiga mitandao mingine, nimenunua mpaka kifurushi cha elfu 10 bt waapi.'
Kweli mkuu unakuwa huna mawazo na mbHalotel ukitaka kuifurahia nunua bundle ya mwezi line ya wanafunzi GB 10 Tsh. 10000 na airtime unapata
Something is wrong somewhere na hii mitandaoNi kweli mkuu mwanzo ilikuwa ukipata mb 500 zinakaa kweli unaona kabisa kuwa zimetumika kihalali ...ila now days hata gb 1 ukiweka almost haichukui muda inaisha almost kama mb 500 ndo uliweka