VLOOKUP inafanyaje kazi kwenye microsoft excel

VLOOKUP inafanyaje kazi kwenye microsoft excel

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari wana jamii forum
Nilikuwa naomba msaada kwa wale wajuvi wa microsoft excel VLOOKUP inafanyaje kazi maana najaribu kuisoma lakini bado inanisumbua kuielewa
 
Vlookup,kifupi ni kama vile unavyotafuta jina au namba ya simu kwenye phone book yako,syntax yake =vlookup(value,table,col index,range lookup),value ni namba au jina unalotaka kulitafuta,table ni sehemu yenye namba/jina unalotaka kutafuta,col index ni column yangapi kwenye table yenye hilo jina/namba,range lookup hii inaweza kuwa true au false true inamaanisha ikalibiane na hiyo namba/ jina unayoitafuta na false ilingane namba/jina unayoitafuta
 
Back
Top Bottom