Mmmh huyu ni mimi niliandika huu uzi ππ’π€π€¨
Afande ukiona unazidiwa bora ukimbie in Tibaigana's voiceBado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.
Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio imekua mbinu ya wasichana wengi na wengine wamefikia hatua anakukubalia kuwa wapenzi lakini utapigwa vizinga kabla ya kupewa mzigo hadi mahusiano yanakufa kabla hujaambulia hata busu.
Tuelezane yanayotokea one day after kutongoza pisi kama pisi. Ladies huwa mnafikiria tukio gani kufata baada ya kutongozwa na handsome flani au ndo halipo la kusema itoshe kusema hisia zenu zipo kwenye pesa, shida mnakulaga na hizo pesa then mnatokomea mitini.
Note: But some girls wako smart sana unampeleka shopping then usiku mnakwenda kulala wote vizuri kabisa na kwa mahaba yote.
vizinga vya siku za mwanzoni usivipe muda sanaBado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.
Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio imekua mbinu ya wasichana wengi na wengine wamefikia hatua anakukubalia kuwa wapenzi lakini utapigwa vizinga kabla ya kupewa mzigo hadi mahusiano yanakufa kabla hujaambulia hata busu.
Tuelezane yanayotokea one day after kutongoza pisi kama pisi. Ladies huwa mnafikiria tukio gani kufata baada ya kutongozwa na handsome flani au ndo halipo la kusema itoshe kusema hisia zenu zipo kwenye pesa, shida mnakulaga na hizo pesa then mnatokomea mitini.
Note: But some girls wako smart sana unampeleka shopping then usiku mnakwenda kulala wote vizuri kabisa na kwa mahaba yote.
Kwani hiyo kanda iko sayari gani!! Kama ni hii basi mwalimu wao ni mmoja.Huo ni mkoa gani mkubwa?
Anyway huku kanda maalum hakuna wanawake wa dizaini hiyo
Mwamba chukua kinywaji nakuja kulipa. Nimepitia hiyo hali, ila hawanisumbui. Mmoja anachenga kutoa jibu Jana kaomba hela kuuliza jibu anasema bado ana nipima. Mwingine ali kubali kuhusu mzigo anasema bado muda. Busu la kwenye simu ata kupa la mubashara hataki. Nilipo tumia mantiki na kuacha kusikiliza hisia nigundua naibiwa.Bado hujapewa jibu la kukubaliwa lakini umekwisha pigwa vizinga vya kutosha.
Huu mchezo wa kusema acha nikubali kutoa ili kutengeneza mazingira mazuri nadhani si uamuzi mzuri. Kwani pia ndio imekua mbinu ya wasichana wengi na wengine wamefikia hatua anakukubalia kuwa wapenzi lakini utapigwa vizinga kabla ya kupewa mzigo hadi mahusiano yanakufa kabla hujaambulia hata busu.
Tuelezane yanayotokea one day after kutongoza pisi kama pisi. Ladies huwa mnafikiria tukio gani kufata baada ya kutongozwa na handsome flani au ndo halipo la kusema itoshe kusema hisia zenu zipo kwenye pesa, shida mnakulaga na hizo pesa then mnatokomea mitini.
Note: But some girls wako smart sana unampeleka shopping then usiku mnakwenda kulala wote vizuri kabisa na kwa mahaba yote.
Vp mkuu umekaa ukatulia ukahisi ni utopoloMmmh huyu ni mimi niliandika huu uzi ππ’π€π€¨
ULIKUWA TUNGI NA USHAPIGWA MIZINGA NA WADANGAJI UKAJA KULALAMIKA HAPAMmmh huyu ni mimi niliandika huu uzi ππ’π€π€¨