Viwanja vya serekali

Carina

Senior Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
194
Reaction score
71
Wakuu,

Nina shida na viwanja vya serikali vilivyopimwa, ila sijajua utaratibu wa kuvipata na procedures za kufuata mpaka ukimiliki kabisa. Huwa napata shida hapa.

Au kama una shamba lako umenunua unataka upime, inakuwaje procedures hapa??

Ni hayo tu
 
Habari,

viwanja vya serikali hua vinatangazwa pindi vinapokuwepo na halmashauri husika....

kama uko DSM kwa sasa viwanja hakuna, vilivyopo ni vile vinavyomilikiwa na watu binafsi baada ya kuvinunua kutoka serikalini na wanaviuza kwa bei mbaya....

kwa masuala ya kupima shamba na kutoa viwanja you can contact me......0713 348165
 

Tumekupata "Mtanzania haswaaaa" je una hint labda vinaweza kutangazwa lini au huo mpango haupo kabisa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…