Viwanja vya makazi vinauzwa Kibaha

Viwanja vya makazi vinauzwa Kibaha

loykeys

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
1,175
Reaction score
912
Amani kwenu wadau,

Ninauza viwanja vyangu ni vizuri kwa makazi, vina ukubwa wa M.40x30 vinapatikana maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, pia umeme na maji vinapatikana.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.

Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 8.

Maongezi yapo, kwa mteja anayehitaji wasiliana nami kwa namba hizi: 0766 621600, 0625 918961.

Karibuni sana.
 
Je vimeruhusiwa kuwa makazi, isijekuwa ni mali ya hicho kituo cha watoto yatima!
 
Sio mali ya watoto yatima, ni eneo halali kwa ajili ya makazi. Na kwa utaratibu kamili utafika ofisi ya mtaa kwa udhibitisho.
 
Amani kwenu wadau,

Ninauza viwanja vyangu ni vizuri kwa makazi, vina ukubwa wa M.40x30 vinapatikana maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, pia umeme na maji vinapatikana.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.

Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 8.

Maongezi yapo, kwa mteja anayehitaji wasiliana nami kwa namba hizi: 0766 621600, 0625 918961.

Karibuni sana.
 
Viwanja vinapatikana, karibuni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom