Viwanja vya bei poa dar

Viwanja vya bei poa dar

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Wadau nina 2m/-. Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja cha 1.5m hapa Dar?
 
Kiwanja cha 1.5 kweli Dar jamani, ukipata uniambie
 
Kwa hela hiyo utapata kipande cha shamba na sio kiwanja tena Mvuti, kisarawe au mbutu

hii nchi ufisadi umeharibu sana aisee..
 
mkuu kwa hiyo 1.5 million bagamoyo utapata viwanja vitatu kwa laki tano kila kimoja,.

Vitakufaa sana hasa kwa kuanzisha project,..
 
Wadau nina 2m/-. Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja cha 1.5m hapa Dar?

Nipigie kwa 0686555726 upate nusu heka, Kigamboni mbele ya Dar es salaam zoo. Ni nje ya mradi na Maji yapo karibu na pia pana makazi.
 
Nipigie kwa 0686555726 upate nusu heka, Kigamboni mbele ya Dar es salaam zoo. Ni nje ya mradi na Maji yapo karibu na pia pana makazi.
Karibu na Dsm zoo Tshs 2mil unapata heka bana, sio nusu!!
 
Mkuu chakii,bagamoyo sehemu gani hayo maeneo yanapatikana kwa bei hiyo ya laki 5,uwa yana ukubwa gani?vipi unaweza tupia namba ya mtu anaehusika ili kuweza kupata maelezo zaidi.
 
kiwanja bagamoyo unafanyakazi posta kweli kazi ipo au ndio hule msemo hakuna baba mwenye gari bali kuna ;baba mwenyenyumba: nilikua napita tu
 
mkuu kwa hiyo 1.5 million bagamoyo utapata viwanja vitatu kwa laki tano kila kimoja,.

Vitakufaa sana hasa kwa kuanzisha project,..

Poa nimefurahi kusikia km naweza pata viwanja je ntakupataje unaweza kunipa no yako
 
Una mil 2,unataka kiwanja cha mil 1.5,mkuu ndo kusema unataka ubaki na chenchi ya laki 5? Anyway,hela yako sio ndogo,utapata,ila ogopa tapeli. Kwa bei hiyo usishangae kuuziwa kiplefti unaamka asubuhi watu wanakuzunguka tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom