Viwanja viwili vinauzwa Kimara kwa Msuguri

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
715
681
Ukubwa ni 20 kwa 20 kwa kila kimoja bei ni mil 10 kwa kila kimoja maongezi yapo kiwanja kipo tambalale vyote vipo sehemu moja...Vinaangaliana na barabara ya mtaa.....Umeme upo hapohapo karibu na kiwanja .
Hakuna mgogoro wowote ......Mawasiliano 0716805201 .
 
H

Hivi usawa huu wa magufuli bado watu wanauza viwanja milioni 10 labda atanunua manji tu
 
H

usiseme hatuna hela.. sema sina hela....

kuna watu magufuli mwenyewe anasema wawe wanalipwa milion 15 kwa mwezi..

kuna watu m 10 wanaingiza siku moja tu..

Hivi usawa huu wa magufuli bado watu wanauza viwanja milioni 10 labda atanunua manji tu
 
Ardhi imepanda aisee..utadhan maeneo ya upanga na kisutu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom