Viwanja viwili vinauzwa Arusha Olasiti

Viwanja viwili vinauzwa Arusha Olasiti

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
1,422
Reaction score
1,851
Viwanja viwili vilivyoshikana vya mita 20 kwa 20 (yaani ni kiwanja kimoja cha 20 kwa 40) vinauzwa.

Viko sehemu nzuri sana Olasiti Arusha. Ni kama mita 700 tu kutoka barabara kuu inayotoka Olasiti kwenda mjini ambayo iko kwenye mpango wa kuwekwa lami na imeshawekwa murram.

Umeme na maji ya bomba yapo kwenye nyumba zinazopakana na hivyo viwanja na kuna barabara ya kufika moja kwa moja toka barabara kuu. Bei ni mil 14 kwa kila kiwanja lakini pia mazungumzo yapo. Simu ( kwa watsap na msg tu) ni 0756 799995.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we jenga mwenyewe tuu

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom