Viwanja, viwanja, viwanja

Viwanja, viwanja, viwanja

KIJONGA

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
456
Reaction score
374
Kuna viwanja vinauzwa,vipo kuanzia ft 40 kwa 50,50 kwa 50,50 kwa 60,60 kwa 60,60 kwa 80,80 kwa 100,viwanja vinauzwa kwq bei nafuu sana kuanzia 1.5 na kuendelea,vinapatikana vikindu uzuri ni kwamba malipo yanaweza kufanywa kwa awamu kulingana na kipato chako,kwa mawasiliano 0654879476
 
Ft ndio nini au ni mita.
Kama mita bei ni nzuri ila ft itakuwa haieleweki.
 
Mko katika karne ya 7? Mnapima kwa futi ndio vipi? Dunia nzima standard ni kupima kwa mita nyinyi mnapima kwa futi!!!

3.37 feet ndio mita 1 hamuoni kama mnauza viwanja vidogo kwa bei kali sana??
 
Viwanja si vidogo inategemea na matumiz yako,uzur ni kwamba kuyafikia maeneo viwanja vilipo ni bure maana usafir ni juu yetu,fahar ya macho and am sure hutojutia muda wako,viwanja viko vzr na hata hyo dimension ni reasonable kwa kutegemeana na matumiz ya mnunuz,wote mnakaribishwa
 
Kuna viwanja vinauzwa,vipo kuanzia ft 40 kwa 50,50 kwa 50,50 kwa 60,60 kwa 60,60 kwa 80,80 kwa 100,viwanja vinauzwa kwq bei nafuu sana kuanzia 1.5 na kuendelea,vinapatikana vikindu uzuri ni kwamba malipo yanaweza kufanywa kwa awamu kulingana na kipato chako,kwa mawasiliano 0654879476
Viwanja si vidogo inategemea na matumiz yako,uzur ni kwamba kuyafikia maeneo viwanja vilipo ni bure maana usafir ni juu yetu,fahar ya macho and am sure hutojutia muda wako,viwanja viko vzr na hata hyo dimension ni reasonable kwa kutegemeana na matumiz ya mnunuz,wote mnakaribishwa

Ft ndio nini au ni mita.
Kama mita bei ni nzuri ila ft itakuwa haieleweki.
 
Ft ndio nini au ni mita.
Kama mita bei ni nzuri ila ft itakuwa haieleweki.
Viwanja si vidogo inategemea na matumiz yako,uzur ni kwamba kuyafikia maeneo viwanja vilipo ni bure maana usafir ni juu yetu,fahar ya macho and am sure hutojutia muda wako,viwanja viko vzr na hata hyo dimension ni reasonable kwa kutegemeana na matumiz ya mnunuz,wote mnakaribishwa
futi 3 ni appr. to 1 meter
 
Kwani wewe una 80yrs hadi ushindwe kuweka kipimo cha mita.
 
vimepimwa au,,,,je ni shamba umekatakata au,,,pana huduma gani ya kijamii,,,hati ni juu yako,,,,,wewe ni dalali ana kipanga au mwenye shamba,,,umbali gani kutoka barabara kuu ya kusini??vimepakana na nini kwa kwaribu,,,,weka vipimo kwa mita ,,,
 
NJOO UPATE HEKA 3 NA NUSU KWA MIL 6.5 maji,kokoto,mawe,mchanga vpo kiwanja kpo center karibu na barabara piga 0624078252 AU 0764726071 KPO MPAKANI MWA W/KIBAHA NA KISARAWE HAKUNA UDALALI
 
Kwani wewe una 80yrs hadi ushindwe kuweka kipimo cha mita.
Umbali ni almost 1km kutok barabara ya kusini,viko mkono wa kulia km unatok mbagala,umeme umeshafika,eneo ni letu tumeamua kuliuza,ni eneo linalovutia kwa kuishi
vimepimwa au,,,,je ni shamba umekatakata au,,,pana huduma gani ya kijamii,,,hati ni juu yako,,,,,wewe ni dalali ana kipanga au mwenye shamba,,,umbali gani kutoka barabara kuu ya kusini??vimepakana na nini kwa kwaribu,,,,weka vipimo kwa mita ,,,
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 20 X 20 Miguu.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.
Bei: 6.0M

Contact: 0654-098028
0626-684173

9f2b0c10f25b88a6a5c02288f2f5b295.jpg
 
Back
Top Bottom