viwanja vinauzwa

viwanja vinauzwa

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
kiwanja kinauzwa kipo nganje mkulanga kina offer kabisa mil 6,700,000, kingine pugu kwenye mradi wa viwanja 20000 vya serikali kina hati bei 9,000,000.
kwa mawasiliano tuma ujumbe kwenda lukakomba@yahoo.com
 
Mleta mada kabla hujaweka bei elezea sifa za viwanja vyako, mafano kama umbali gani toka barabara kuu ya eneo hilo, kuna umeme na maki karibu, kina mita za mraba ngapi, n.k. Bei inatokana na huduma muhimu kuzunguka mali inayouzwa, umbali na ukubwa. Tuweke matangazo yanayouzika!!!
 
hakika weka maelezo ya kujitosheleza.
 
kiwanja cha nganje mkuranga kinaukubwa wa sq mita 1200 viko umbali wa km 20 toka mkuranga mwelekeo wa kwenda bahari ya hindi.
kiwanja cha pugu ni kina ujazo wa kati super mediam size, ni umbali wa 3km toka barabara kuu iendayo chanika umeme upo na kipokaribu na mrada wa nyumba za pspf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom