Viwanja Vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja Vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Merci, Feb 9, 2012.

 1. Merci

  Merci Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Makabe (KM 3.5 kutoka Morogoro road), Mbezi Msakuzi(KM 5 kutoka Morogoro road), na Kwembe-Kibamba(KM 2 kutoka Morogoro road). Mita 20*25 bei 3.5M, Mita 20*25 bei 3M, Mita 20*20 bei 2.5M na Mita 20*20 bei 2M. Bei imezingatia uonekanaji (Landskape) ya kiwanja husika. Maeneo yote haya umeme upo karibu na barabara ni nzuri hadi kiwanjani. Viwanja vyote ni mali yangu nipigie ukiwa seriouse kununua 0713596266
   
 2. K

  KASRI Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu nahitaji huko Kwembe;
  Je vimepimwa? vipo eneo la mradi? Kwembe ipi - baada ya maduka sita au kabla?
  Asante
   
 3. Merci

  Merci Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Viwanja hivi havina hati na wala havipo eneo la mradi ule wa chuo kule ni mbali sana na pia viko baada ya maduka sita ila njia ndo hiyo unaingilia kama unaenda kule kwenye mradi wa chuo. Ni vyema ukaja ukaviona
   
Loading...