Viwanja vinauzwa

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,958
Reaction score
70,721
VIWANJA HIVI VIMEPIMWA NA VINA HATI TAYARI
Vipo kuanzia 500sqm -2200sqm! Vipo 25 kati ya hvyo kuna vya makazi na biashara (cr)
VIPO KEREGE MATUMBI MBELE YA BUNJU B 1 km to bgmy rd!
BLOCK F township
@sqm -12000/=WAWEZA LIPA KWA INSTALLMENT 3!
Kwa mawasiliano zaidi cheki na mhusika 0713969633
0688590080
KARIBUNI!
 
Nitakutafuta MKUU.
Kwa wanaohitaji SALASALA "A" karibu na FEZA International School mtaa wa Magwaza.Kiwanja kina ukubwa;UREFU mita35 na UPANA 22 (Length 35m*22m Width)
Hakijapimwa,ila mradi kupima wa serikali upon jirani.
Bei:Milioni 70,maongezi yapo na hakuna DALALI,mpigie mmiliki 0754856277
 

karibu
 
Mkubwa kerege matumbi ndio pale Njiapanda ya Baobab. Kule kulikuwa na operations ya kuondoa wavamizi waliouziwa kitapeli na madalali mashamba ya watu
 
mwanamke mzima dalali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…