Viwanja vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Apr 14, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Vipo Mbezi Beach Juu. Vipo umbali wa kilomita nne kutoka Bagamoyo Road inayofanyiwa upanuzi.
  Vipo viwanja saba. Viwili vina Hati Miliki (Tittle Deed), kila kimoja kina ukubwa wa sqm 1000 au 25 x40. Bei shs 28mil kwa kila kimoja. Vingine vina ukubwa wa sqm 1000 isipokua havina Hati Miliki Bei yake ni shs 20mil kwa kila kimoja.Kingine kina ukubwa wa 25 x 40 kinauzwa 16.5mil. Wahi kununua kabla barabara haijapanuliwa na bei kuongezeka. Kwa mawasiliano piga simu 0784225000 au 0717114409
   

  Attached Files:

Loading...