Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

manyusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Posts
292
Reaction score
170
Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe ukubwa 22x25 bei sh M2.5 kwa anayehitaji tafadhali piga simu namba 0713876210
 
Kaka hivyo viwanja visije vikawa ndo hivi ambavyo baadae watu wanakuja kuuana!! Vipi vina hati halali?
 
Vya makabe havna hati, nipo tandahmba nikija dar ntakuchek visijekuwa vp eneo la barabara, vpo vngapi?
 
Mbezi makabe ni wapi? Ya Kimara au Mbezi beach?
 
Manyusi... Je hivyo viwanja vina hati au vimeshakua surveyed au hata basi vina plan nzuri ya makazi ili tusije kuishia kununua njia na vitu kama hivyo?

Sina lengola kukuharibia biashara lakini nadhani ni vyema tuwe tunaaddress yote hayo ili kuokoa vizaizi vijavyo na kibera nyingine....

Pia kama ushauri tu, haya ya 22X25 yamehsapitwa na wakati, uza eneo kwa sq meters na tena umeshafanya plan yote ya saiti na ni vyema ku-share hata the total area unayouza coz some may agree to buy even 50% of your land and re-plan the use of the whole land

Cha kuangalia hapo ni kwamba eka moja in about 4000 sq meters na 22 au 20 by 25 ni kama sq meters 400-500 which means waweza kutoa viwanja hata nane kama mambo ya barabara, open space na assembly places hujaweka.... ina maana eka moja unapiga almost 20M na kutuachia disasta ya kimazingira huku nyuma

wewe unaona ni sawa?
 
unavyo vingapi?? kama nikitaka vinne pamoja nitapata? je bei ya mwhisho itakua ngapi?
 
mnunuzi wa kweli haitaji yotehayo,vidole havilingani wajamaeni
 
Nitakutafuta nikione, mie niko maeneo ya kwa mama Mngazija.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom