Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

memory card

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
259
Reaction score
166
Habar zenu wanajamvi, kuna viwanja vinauzwa kwa ajili ya ujenzi, viwanja hivyo vimepimwa na vna ukubwa wa 30 kwa 20 Viwanja vinapatikana mkoani morogoro wilaya ya mvomero tarafa ya turiani. Viwanja vinapatikana kwa shilingi za kitanzania millioni tatu (3,000,000) kwa kila kiwanja. Kwa mawasiliano zaidi #0716590309 au 0743753967. Nyote mnakaribishwa
 
Maeneo ya morogoro mjini,tungi ardhi wanauza milioni 3.Turiani milioni 3 nayo???
 
Maeneo ya morogoro mjini,tungi ardhi wanauza milioni 3.Turiani milioni 3 nayo???
dada dori hivi vya milioni 3 tungi vinauzwa kupitia manispaa au ni miradi binafsi ya upimaji na uuzaji wa viwanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom