Plot4Rent Viwanja vinauzwa Mwanza

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,226
5,145
Kiwanja kinauzwa BUSWELU
Kwa wakazi wa mwanza kuna viwanja viwili vimeshikana vinauzwa maeneo ya Buswelu jijini Mwanza
Vimeshapimwa na vina Full Documents
 
Kiwanja kinauzwa BUSWELU
Kwa wakazi wa mwanza kuna viwanja viwili vimeshikana vinauzwa maeneo ya Buswelu jijini Mwanza
Vimeshapimwa na vina Full Documents
Mbona hujasema buswelu sehemu gani karibia na wapi? , na pia weka na bei kabisa watu tujue na kuamua maana tangazo lako halijakamilika mkuu
 
Mwanza hatanilipewa bure ardhi siwezi ikubali nimeona majamaa ya mwanza yaaroho ngumu kweli sukuma linakata bomba ya maji eti kisa yeye hana maji????
 
Mwanza hatanilipewa bure ardhi siwezi ikubali nimeona majamaa ya mwanza yaaroho ngumu kweli sukuma linakata bomba ya maji eti kisa yeye hana maji????

Tena wewe unaonesha ni KILWA orijino
Wala sio wakubumba kabxaa
Kutokana na kiswahili chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom