MIFUGOKILIMO SUPPORT
Member
- Mar 18, 2015
- 51
- 0
Kimoja kina ukubwa wa 4470sqm kiko ziwani viwili Vina 1800sqm kila kimoja viko kwenye strategic area mjiniWeka bei wewee.. Ukubwa gani?
Kile cha ziwani kiko nyuma yake kama 300mHakuna vilivyo jirani na kwa muheshimiwa rais!?
Bei bei. Bei..Kimoja kina ukubwa wa 4470sqm kiko ziwani viwili Vina 1800sqm kila kimoja viko kwenye strategic area mjini
Kimoja kimeshachukuliwa vimebaki viwili kwenye strategic area.... Bei piga tuongee....Bei bei. Bei..
Bei maelewano.... Piga kama unahitaji.....Biashara gani huweki bei mpaka upigiwe
Weka bei mtu ajue apige au laa
Mkuu wala usiweke bei kausha hivyo hivyo mnunuzi wa kweli atakutafuta tu kupitia hiyo namba uliyo weka kwani humu ndani ukiweka bei kuna watu kazi yao ni kuponda tu na kuharibu biashara za watu ili watu wengine wakate tamaa xo anayehitaji kweli basi aku pmHabari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani y'a siku tatu... Chato inafunguka kwa kasi ya ajabu.... Viwanja hivi vinafaa kwa biashara (Mahoteli) na makazi ....Wewe mwenyewe unajua Chato kuna nini saa good. TUWASILIANE....
Bizzel una busara asante Sana......Mkuu wala usiweke bei kausha hivyo hivyo mnunuzi wa kweli atakutafuta tu kupitia hiyo namba uliyo weka kwani humu ndani ukiweka bei kuna watu kazi yao ni kuponda tu na kuharibu biashara za watu ili watu wengine wakate tamaa xo anaye hitaji kweli basi aku pm
Utapigwa chumaHakuna vilivyo jirani na kwa muheshimiwa rais!?
Hicho kimoja ni milioni 80 na hicho cha pili ni milioni 100. Mazungumzo yapo kidogo tu.Biashara gani huweki bei mpaka upigiwe
Weka bei mtu ajue apige au laa
Nakuja chato mniachie tu kale ka kitovu cha utalii nichezeeHabari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani ya siku tatu... Chato inafunguka kwa kasi ya ajabu.... Viwanja hivi vinafaa kwa biashara (Mahoteli) na makazi ....Wewe mwenyewe unajua Chato kuna nini saa good. TUWASILIANE....