Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,529
sqm700 kila kiwanja,pia unaweza kununua kwa kuunganisha viwanja viwili,barabara zipo hadi kwenye viwanja,umeme upo jirani,kufika kwenye viwanja unaingilia Mbezi ya Kimara barabara ya Msumi,Pia unaweza kupita Goba au Madale unafika kwenye viwanja,eneo lipo sehemu nzuri,bei ni 6mil(milioni sita),maelewano yapo.