viwanja vinauzwa.Mbezi malamba mawili

viwanja vinauzwa.Mbezi malamba mawili

legezamwendo

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Nauza viwanja viwili vyote vinaukubwa Wa 20/20....vipo mbezi malamba mawili...vinafikika kwa urahisi....bei milioni 8.5 kwa kimoja.....tuwasiliane 0712823376
 
hakuna viwanja vilivyopimwa maramba mawili.. acha uongo....!
 
Sijasema kama vimepimwa!nina shamba langu tu kubwa nimeamua nigawe sehemu niuze
 
pima then ukimaliza rudi apa! msije tuuzia viwanja vya shule au greenbelt.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom