Viwanja vinauzwa-mbezi juu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa-mbezi juu.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, May 23, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Vipo maeneo ya TATEDO kwa Bi Hawa Ngurume. Vina ukubwa tofauti kama ifuatavyo:1.Sqmt 1750. Bei 25mil.2.Mbezi Africana kwa Mangi garage.sqmt 3150.
  Bei shs 40mil.3.sqmt 1800 shs 18mil. 4.sqmt 750 bei shs8mil.5.sqmt 800.Bei 25mil. Hiki kimeshapimwa. Kwa ufafanuzi piga simu 0717114409. Au tuma ujumbe kupitia kitomai.1stchoice@gmail.com pia tembelea www.kitomai.blogspot.com.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,314
  Trophy Points: 280
  Tatedo ndo wapi mzee? we tuambie ni kilometa ngapi from bagamoyo road
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Naomba mkuu detail za kiwanja hiki...nancho ni mbezi ya africa sana??
   
Loading...