uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kuna viwanja vitatu vipo maeneo mawili tofauti lakini Kigamboni.
1. Kiwanja cha kwanza kipo mtaa wa Mji mpya, kilometa 1 kutoka ferry na ni mtaa wa pili kutoka bara bara ya lami. Ukubwa ni square meter 2,500, plot namba 31A Block no 7. Kina ofa. Ndani ya kiwanja kuna banda. Eneo ni zuri kujenga makazi, hosteli au makazi na maduka. Bei ni mil 130 negotiable
2. Viwanja hivi vimefuatana hivyo waweza kununua vyote kama una project kubwa. Viwanja hivi vipo kilomita 34 kutoka ferry maeneo yaTundwi kigamboni njia ya kwenda Mwasonga unapita Dar zoo, vipo viwili plot no 59 ina sqmtr 2359 na plot no 60 ina sqmtr 2408 na @sqmtr ni t, sh 8,000.
Mawasiliano 0659211222